The House of Favourite Newspapers

Mtandao wa Wanafunzi Wanazungumza na Wanahabari – VIDEO

Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) wamezungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, na kuorodhesha changamoto mbalimbali zinzowakumba wanafunzi wa ngazi zote kuanzia msingi mpaka vyuoni.

TSNP Wamesema agizo lililotolewa na Rais Magufuli kuhusiana na wanafunzi wanaobeba mimba wakiwa shuleni kukatazwa kurudi tena shuleni baada ya kujifungua, sio jambo sahihi kwani wapo wanafunzi wengine wanapata mimba kwa kubakwa hivyo kumzuia kurudi shuleni tena ni sawa na kumnyima haki yake.

Comments are closed.