The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Mtolea Ashinda Ubunge Temeke, Apita Bila Kupingwa!

ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke  kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)  baada ya wagombea aliokuwa amechukua nao fomu kukosa sifa za kugombea.

Kwa habari zaidi tazama video:

Comments are closed.