The House of Favourite Newspapers

ads

Breaking: Mwili Wa Mtanzania Aliyefia Vitani Ukraine Wawasili Dar Ukitokea Urusi -Video

0
Nemes Tarimo enzi za uhai wake.

MWILI wa Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine wawasili nchini asubuhi ya leo Januari 27, 2022 ukitokea Urusi.

Kwa mujibu wa familia, Tarimo alifariki mwishoni mwa mwezi Oktoba na kwamba taarifa ya kwanza walipatiwa na marafiki wa karibu mwishoni mwa mwezi Desemba kuwa kijana wao amefariki. Baadaye walipata taarifa rasmi kutoka Ubalozi wa Tanzania huko Moscow.

Nemes alienda Urusi kwa ajili ya masomo ya shahada ya uzamili katika Chuo cha Teknolojia cha Urusi, MIREA.

Leave A Reply