The House of Favourite Newspapers

MZEE MAJUTO AZIKWA SHAMBANI KWAKE TANGA (PICHA+VIDEO)

ALIYEKUWA msanii wa filamu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, amezikwa leo shambani kwake Kiruku, mkoani Tanga, ambapo viongozi wa serikali, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela, wameshiriki maziko.

Kaburi alilozikwa Amri Athumani ‘King Majuto’  katika shamba lake lililoko Kiruku, Tanga.
Mwili ukiombewa dua.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela (kulia) akiweka mchanga katika kaburi.
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, akiweka mchanga.
Kaburi alilozikwa ‘King Majuto’.
Msanii maarufu wa filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ akiweka mchanga.
Msanii kutoka lebo ya WCB Wasafi, Harmonize.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba.
Mwili ukombewa dua msikitini.
…Wakati ukitolewa msikitini.
Watu waliojitokeza wakati wa msafara wa kuelekea kijijini kwake kwenye maziko.

(PICHA; RICHARD BUKOS | GPL -TANGA)

Comments are closed.