NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba 2022, Yatazame Hapa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022 ambapo limetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa 1,350,881 waliofanya mtihani ambao wamebainika kufanya udanganyifu katika mtihani huo wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022. Kutazama Matokeo Darasa la … Continue reading NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba 2022, Yatazame Hapa