The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Adhabu Ya Mwakalebela Yatenguliwa na TFF

0

MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fedrick Mwakalebela leo Juni 24, 2021 ameshinda kesi ya maombi ya marejeo mbele ya kamati ya maadili ya TFF  dhidi ya hukumu ya kufungiwa miaka mitano kujishughulisha na mpira wa miguu ndani na nje.

 

Kamati hiyo iliyoketi  Juni 23, imeridhia kumuondolea adhabu ya kifungo cha miaka mitano Pamoja na faini ya jumla ya sh. milioni saba.

 

Mwakalebela katika katika maombi yake amesema  anajutia kosa  hivyo anaomba aondolewe adhabu hiyo amabyo ameitii kwa kipindi chote, aliomba apewe fursa nyingine ya kutumikia  mpira wa miguu.

 

Leave A Reply