The House of Favourite Newspapers

CHADEMA WALALAMIKA BAADHI YA MAWAKALA WAO KUZUILIWA VITUONI

CHAMA cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), kimezungumza kuhusu zoezi la uchaguzi mdogo unaoendelea katika majimbo ya Kinondoni Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro.

 

Akizungumza na Global TV Online asubuhi hii, Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene amesema kuwa chama chao wameshangazwa na kitendo cha baadhi ya mawakala wao kuzuiliwa kuingia kwenye vituo na baadhi yao waliokuwa wameingia wametolewa kwa sababu wanatakiwa kuwa na barua ya utambulisho wa wakala kutoka Tume ya Uchaguzi NEC. 

VIDEO: MSIKIE MAKENE AKIZUNGUMZA

Comments are closed.