Breaking News: Dk. Magufuli ndiye rais wa TZ

BREAKINGNEWS3 dk. magufuliDk. John Pombe Magufuli.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa ndiye Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 8,882,935  sawa na asilimia 58.46%.

12189132_436634269872140_3319897689167690141_n


Loading...

Toa comment