The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Haji Manara Aondolewa Simba, Atangazwa Kamwaga

0

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Julai 28, 2021 kwa kauli moja, imeridhia matakwa ya Haji Manara ya kutokuendelea kuhudumu katika nafasi ya Msemajiwa Klabu hiyo. Bodi inamshukuru kwa maneno aliyotumia kuwaaga wana Simba.

 

Klabu ya Simba imemteua, Ezekiel Kamwaga kuwa Kaimu Mkuu wa Idaa ya Habari na Mawasiliano ya Klabu kwa kipindi cha miezi miwili.

Leave A Reply