The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Johari Afiwa na Mama Yake

 

Muigizaji wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’.

Muigizaji wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amepata pigo kwa kuondokewa na mama yake mzazi. Mungu ailaze roho ya mama Johari mahala pema peponi, Amina.

Endelea kuwa na si hapa kwa Habari zaidi baadae.

Comments are closed.