Breaking News: Kesi ya Mazishi ya Mawazo yaahirishwa
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, imeahirisha kesi iliyofunguliwa na familia ya marehemu Alphonce Mawazo kupinga amri ya Jeshi la Polisi mkoani humo kuzuia mwili wake kuagwa, kesi hiyo imetajwa kuendelea kesho Jumatano.

