Breaking News: Mbowe, Matiko Washinda Rufaa ya Dhamana

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini,  Esther Matiko wameshinda rufaa ya dhamana yao dhidi DPP katika Mahakama ya Rufani.

Washtakiwa hao walifutiwa dhamana Novemba 23, 2018 na aliyekuwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kwa kukiuka masharti ya dhamana.

Wamerudishwa rumande na jarada lao linapelekwa mahakama kuu kwa ajili ya dhamana.

Toa comment