The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni

0
JESHI la Polisi Mkoani Mara limemkamata Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya (CHADEMA) akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kutaka kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambe amesema wabunge  Bulaya na John Heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Tarime.

VIDEO: Baada ya Lissu ‘Kuliamsha Dude’, Serikali Yafunguka Sakata la Bombadier

Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App

Sikiliza Hadithi za Mtunzi Eric Shigongo Hapa

Leave A Reply