The House of Favourite Newspapers

Breaking: Mbunge wa CHADEMA, Simanjiro Atimukia CCM

 

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Ole Millya.

MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Ole Millya, amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.

Comments are closed.