Breaking: Meya wa Chadema Arusha Ajiunga CCM-Video

MEYA wa jiji la Arusha kwa tiketi ya Chadema, Kalisti Lazaro, leo Novemba 19, ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humprey Polepole  na hayo yametokea ikiwa ni siku chache baada ya kutangazwa kwa kuanza kwa kampeni za uchaguzi wa serikali za mtaa.


Loading...

Toa comment