Breaking News: Mkutano wa Waziri Mkuu Walipuliwa

Waziri Mkuu, Abiy Ahmed.

BOMU limelipuka katika mkutano aliokuwa akifanya Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia, Abiy Ahmed, leo Jumamosi.

 

Tukio hilo lililofanywa na watu wasiojulikana,  idadi ya waathirika bado haijajulikana lakini imebidi kiongozi huyo aondolewe kwa haraka mahali haopo  muda mfupi tu baada ya kutoa hotuba yake.

 

 

Toa comment