The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: MOTO WAUNGUZA SOKO MBAGALA – VIDEO

Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii Machi 6, 2018.

 

Sehemu iliyoathirika zaidi ni ile ya wauza mitumba huku baadhi ya bidhaa zao zikiteketea kwa moto lakini hakuna aliyeripotiwa kupoteza maisha wala kujeruhiwa.

 

 

Chanzo cha moto huo kinadhaniwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambapo tayari gari la jeshi la zima moto limefika  kuzima moto huo.

Taarifa zaidi tutakujuza. . Video ya tukio ipo .

MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA MBAGALA

Comments are closed.