Breaking News: Polisi Dar Wakamata Majambazi 5 na Bastola 2 – (VIDEO)

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata watuhumiwa watano wa ujambazi pamoja na bastola mbili. Akizungumza na waandishi wa habari wakati akisoma ripoti ya mafanikio ya jeshi hilo, Kamanda wa Operesheni Kanda Maalum Dar, Luca Mkondya ameeleza kuwa, tukio hilo lilitokea Juni 12, 2017 majira ya saa 2 asubuhi maeneo ya Ubungo, National Housing ambapo watuhumiwa hao walipelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.

 

Nishushe Idd Mosi… Roma Atawaongoza Wakali Hawa Kuliamsha Dude, Dar Live

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment