The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Prof. Chiza (CCM) Aibuka Kidedea Ubunge Buyungu

ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Jimbo la Buyungu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Christopher Chiza ameibuka mshindi katika matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo hilo uliofanyika jana, Jumapili, Agosti 12, 2018 huku akimburuza mpinzani wake, Elia Michael wa Chadema.

Comments are closed.