The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Salum Mwalimu Akamatwa na Polisi

Mgombea ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu.

MGOMBEA  ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa na polisi kituo cha kupigia kura cha Idrisa Kata ya Magomeni. Akizungumza na Global TV Online mchana huu Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene amethibitisha kukamatwa kwa mgombea huyo.

Comments are closed.