Breaking News: Spika Ndugai Amvua Ubunge Joshua Nassari

Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamisi, Machi 14, 2019, amemvua Ubunge, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), baada ya kupoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge. Ni baada ya kushindwa kuhudhuria vikao vya mikutano mitatu ya Bunge mfululizo.

Toa comment