Breaking News: TFF Yasitisha Mkataba na Kocha Amunike Taifa Stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike wamefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba wa kocha huyo. TFF itatangaza kocha wa muda atakaekiongoza kikosi cha timu katika mechi za CHAN, baada ya kikao cha dharura Julai 11, 2019.

Loading...

Toa comment