Breaking News: Wachimbaji wafukiwa na kifusi, Chunya-Mbeya
Hali ya taharuki kwenye eneo la tukioTinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.
Taarifa zilizotufikia hivi punde:
Wachimbaji kadhaa wa migodi (idadi yao haijafahamika) hivi punde wamefukiwa na kifusi cha udongo katika Kijiji cha Sangambi kilichopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuwaokoa bado zinaendelea muda huu.
Endelea kufuatilia habari zetu ili kufahamu kitakachojiri kuhusu tukio hilo.