Breaking News: Mabweni ya Sekondari Ashira Yateketea Kwa Moto – Video

MABWENI ya Shule ya Sekondari Wasichana Ashira, iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro, yanaungua kwa moto.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bi. Anna Mghwira, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akieleza kuwa askari wa kikosi cha zimamoto wanaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.


Loading...

Toa comment