Breaking: Waziri Kabudi Apata Ajali Morogoro – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi, amepata ajali ya gari eneo la Kihonda, na  Morogoro, amepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Sanare, amethibitisha tukio hilo na kuongeza kwamba waziri huyo anaendelea vizuri.

“Madaktari wamemcheki hana tatizo kubwa, anahitaji kupumzika,” amesema.


Toa comment