Breaking: Rais JPM Alivunja Jiji la Dar, Aipandisha Ilala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameivunja rasmi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam na kwa mamlaka aliyonayo ameipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kuanzia leo Jumatano Februari 24, 2021.

Toa comment