Breaking: Rais Magufuli Afika Nyumbani Kwa Mzee Mkapa -(Video +Picha)

Rais Magufuli akiambatana na Mkewe Mama Janeth jioni ya leo Julai 25, 2020 amefika nyumbani kwa marehemu Benjamin William Mkapa Masaki jijini Dar kutoa pole kwa wafiwa ambapo Wananchi watamuaga siku ya kesho Jumapili na Jumatatu, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Toa comment