The House of Favourite Newspapers

BREAKING: RAIS MAGUFULI Amuombea Dua Waziri Mkuu Mstaafu ICU!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019
Rais Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali leo Januari 2 ,2019
RaisĀ  Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Amne Salim (Mke wa Dkt.Salim) ya kumuombea Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Magufuli amemjulia hali na kumuombea waziri mkuu mstaafu, Mh Salim Ahmed Salim asnaepatiwa matibabu katika Hospitali mojawapo jijini Dar es salaam.

PICHA NA IKULU

Comments are closed.