Breaking: Magufuli Apewa Tuzo ya Heshima na TAG -Video

RAIS John Magufuli leo Agosti 14, 2020, amepewa tuzo maalum ya heshima na Baraza Kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)  kwa kutambua jinsi alivyoliongoza taifa kwa kumtegemea Mungu katika kipindi kigumu cha janga la ugonjwa wa Covid-19 #GlobalPublishersUpdates
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Toa comment