BREAKING: Baraza la Maulid ya Kitaifa, Tanga – VIDEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jafo,  amemuwakilisha Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 20, 2018, katika hafla ya Maulid ya Kitaifa iliyoandaliwa na Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA).

Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe mkoani Tanga.

 

Loading...

Toa comment