The House of Favourite Newspapers

Breaking: Rais Samia Afanya Mabadiliko Bashungwa Ateuliwa Waziri wa Ulinzi, Kairuki Tamisemi

0

Rais Samia amefanya mabadiliko hayo kwa kumteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Pia, amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

Pia amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anachukua nafasi ya Balozi Liberata Mulamula

Leave A Reply