Rais Wa Botswana Awasili Nchini Kwa Ziara Ya Siku Mbili (Picha +Video)

 

Rais wa Botswana, Dk. Mokgweetsi Masisi amewasili nchini leo Juni 10, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Dk. Masisi amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo baada ya hapo, ataelekea Ikulu ambapo baadaye atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxTecno


Toa comment