SOKO la wafanyabiashara wa mitumba lililopo eneo la Mlango Mmoja maarufu linajulikana kwa jina la Langolango jijini Mwanza limeteketea kwa moto hivi punde na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Chanzo cha moto huo bado hakujajulikana, endelea kufuatilia taarifa zetu kupitia Global Habari Updates.
Comments are closed.