STEVE: “DIAMOND Ndiye Mwanamuziki Bora / Baba Yake Mmh” – VIDEO

Muigizajii maarufu Bongo, Steve Nyerere, amempongeza Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, kwa kitendo cha kurudisha fadhira nyumbani alipozaliwa na kukulia Tandale jijini Dar es Salaam.

 

Diamond ametoa msaada huo jana Ijumaa, Oktoba 5, 2018 ikiwa ni sehemu ya kuwakumbuka wakazi wa tandale kwa kuwagawia chakula kwa ajili ya kusherehekea Siku yake ya kuzaliwa, pamoja na kutoa pikipiki 20 na pia kumpatia mama mlemavu zawadi ya Bajaj mpya itakayomsaidia kuendesha maisha yake.

Loading...

Toa comment