The House of Favourite Newspapers

BREAKING: UTEUZI MPYA, MAJAJI WAULA, WAKUU WA WILAYA WATUMBULIWA -VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais John Magufuli amefanya uteuzi mpya jioni hii wa majaji na wakuu wa Wilaya na taarifa hiyo kusomwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi aIkulu leo Jumapili Januari 27, 2019.

Charles Kabeho akiteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime na Thomas Abson kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga. Charles Kabeho alikuwa kiongozi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2018

Pia Rais Magufuli ameteua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15 wa Mahakama Kuu.


JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.