Breaking: Wahamiaji 64 Wafariki Ndani ya Kontena – Video

 

Raia 64 wa Ethiopia wamekutwa wamefariki na wengine 14 wakiwa hai ndani ya kontena la mizigo katika Jimbo la Tete, Msumbiji. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu hao walifariki baada ya kukosa hewa ya oksijeni. Dereva wa lori amesema aliahidiwa TZS milioni 1, ili awasafirishe watu hao.

 

Toa comment