The House of Favourite Newspapers

Breaking: Waziri Mkuu Awasili Eneo la Tukio UKerewe – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika kisiwa cha ukara ukerewe mkoani Mwanza kutoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali ya MV Nyerere,ambapo ameelekea katika kituo cha afya cha Bwisya ambazo shughuli ya utambuzi wa miili ya marehemu inafanyika.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO

Comments are closed.