The House of Favourite Newspapers

Breaking: Xavi Hernandez Kocha Mpya Barcelona

0

Klabu ya Al Sadd Sc imethibitisha kuwa Xavi Hernandez ameondoka klabuni hapo na kujiunga na Fc Barcelona kama kocha Mkuu Barcelona wamelipa kiasi cha €5m ili kuvunja mkataba wake na timu hiyo.

Leave A Reply