BREAKING: Zitto Afunguka Juu ya CAG Kuitwa na Spika
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo, ZITTO Zuberi Kabwe, leo Januari 13, Anazungumza na wanahabari kuhusiana na sakata la SPIKA wa BUNGE, Job Ndugai, kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Assad, Kuripoti katika kamati ya Bunge na Maadili na Haki, kutokana na kauli yake ya kuliita Bunge kuwa ni dhaifu.
Comments are closed.