The House of Favourite Newspapers

BreakingNews: Makamu wa Rais Bi. Samia Azindua Fursa za Ajira na Wachina UDSM

0

Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania, leo amezindua fursa za ajira kati ya Watanzania na Wachina, zoezi lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia taasisi ya Confucius, pamoja na ubalozi wa China na Chinese Chamber of Commerce, ndiyo waliokuwa waandaaji wa tukio hilo la kutafuta fursa za ajira kwa vijana wanaohitimu masomo yao.

Noble Victoria Centre itawasaidia vijana kupata ajira, hususan kwenye sekta ya sayansi na teknolojia kwa kuongeza ukubwa wa soko la ajira kimataifa.

Leave A Reply