The House of Favourite Newspapers

Bruno Mars Aweka Rekodi ya Dunia

0

Bruno Mars amekuwa msanii wa kwanza na wa pekee kwenye historia kufikisha jumla ya nyimbo 5 ambazo zote zimepewa kiwango cha Diamond yaani zimeuza nakala zaidi ya milioni 10 (5 Diamond Certified Singles).

 

Ngoma zilizomfikisha kileleni ni: Just The Way You Are, Uptown Funk, When I Was Your Man, That’s What I Like na Grenade.

Leave A Reply