The House of Favourite Newspapers

Buguruni Waapa Kuchomoka na Ndinga ya Championi, Spoti Xtra

0

 

WASOMAJI wa magazeti ya michezo maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi, Machi 19, 2020, wamemiminika kama njugu huku wakigombea kununua gazeti bora la michezo nchini, Championi, na kushiriki bahati nasibu kubwa ya Baba Lao ambayo mshindi ataondoka na gari mpya aina ya Toyota Fun Cargo.

 

 

Wakizungumza na Timu ya Masoko ya Magazeti ya Championi na Spoti Xtra yanayoendesha promosheni hiyo, wasomaji hao wamesema wamepania kushinda ndinga hiyo, hivyo watahakikisha wananunua Championi (Tsh 800) na Spoti Xtra (Tsh 500) kila yanapokuwa mtaani na kushiriki bahati nasibu hiyo mara kwa mara ili wajihakikishie nafasi nzuri ya ushindi.

 

 

Msomaji yeyote anaweza kujishindia zawadi hiyo kubwa ya Ndinga Mpya  ya FunCargo na zawadi nyingine kama simu mpya za kijanja, Smart Kitochi, ambazo ndani yake kutakuwa na bando la bure na APP ya Global Radio zitatolewa kila wiki.

 

 

JINSI YA KUSHIRIKI

Nunua Gazeti la Championi kisha fungua ukurasa wa pili ambapo utakutana na kuponi yenye maelekezo ya kushiriki bahati nasibu hiyo. Jaza kuponi kama maelekezo yalivyo.

 

 

JINSI YA KUTUMA:

Mpe kuponi yako muuza magazeti aliye karibu nawe popote ulipo, au peleka kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Sinza-Mori, Dar, au tuma kwa njia ya barua, Jishindie Gari, Global Publishers, S.L.P 7534, Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi, piga simu no: 0717 020792 au 0672 324759.

 

MASHARTI YA KUSHIRIKI:

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd na watoto chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kushiriki bahati nasibu hii.

 

Kuponi zitumwe kutoka nakala halisi ya gazeti, vivuli (fotokopi) haviruhusiwi. Mtu anaruhusiwa kutuma kuponi nyingi kadiri awezavyo ili ajiongezee nafasi ya kushinda. Kuponi zote zitachezeshwa kwenye droo ya awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu.

 

ISIKUPITE HII, YAANI UNAPEWA NDINGA BUREE, CHEKI LILIVYO, FULL KUTAMBA MJINI..

Leave A Reply