Nafasi ya Kazi Parliament of Tanzania, Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

POST MWANDISHI WA TAARIFA RASMI ZA BUNGE II – 1 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-05 2022-05-18
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekeishwa katika sauti;
ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge;
iii.Kufanya uhariri wa awali wa nakala za majadiliano kabla ya kuziwasilisha kwa Wabunge husika;
iv. Kuingiza masahihisho yaliyofanywa na Wabunge katika nakala za awali za Taarifa Rasmi za Bunge;
v. Kuhifadhi nakala tepe za awali za majadiliano ya vikao vya Kamati za Bunge
vi. Kufanya kazi nyingine za kiofisi atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye Shahada ya kwanza katika fani ya Uhazili kutoka Chuo Kikuu au Taasisi ya Elimu ya Juu inayotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION PSS D

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI701
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment