The House of Favourite Newspapers

Burna Boy Kutumbuiza katika Fainali za UEFA Istanbul, Turkey

0
Burna Boy

Msanii wa Nigeria na mshindi wa Tuzo za Grammy Burna Boy atatumbuiza katika sherehe za uzinduzi wa fainali za kuwania Kombe la Ligi ya championi ya UEFA mjini Istanbul, Turkey.

Nyota huyo wa Nigeria ataleta nguvu na ladha ya muziki wa Solo wenye mapigo ya afrobeat kabla ya kuanza kuanza kwa mechi za fainali ya UEFA , imesema taarifa

“Dunia haiko tayari kwa kile tulichoiandalia,” Burna Boy alinukuliwa akisema, kabla ya onyesho lake katika Uwanja wa Atatürk Olympic.

Leave A Reply