The House of Favourite Newspapers

Burna Boy:Ni Kweli Jogoo Hawiki Ila Nina Pesa Kwangu Hii Inatosha Sana

0

Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Baurna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi.

Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake wa kimapenzi na staa huyo mkubwa barani Afrika.

Steflon Don alisema; “Nilimwacha Burna Boy kwa sababu hakuweza kunipa ujauzito na kubwa zaidi hakuwahi kuniridhisha kitandani kwa sababu performance yake kitandani ni mbovu sana.”

Baada ya kauli hiyo ndipo Burna Boy akajibu yafuatayo; “Ni kweli sina nguvu za kiume (jogoo hawiki) na siwezi kumpa ujauzito mwanamke, lakini nina pesa kwangu hii inatosha…”

Leave A Reply