Burudani Ya Soka Inahamia Afrika, Afcon 2022 Kimeumana!!
Wikiendi hii, mzunguko wa 3 wa FA Cup unaendelea hii ikiwa ni sambamba na kuanza kwa Mashindano ya AFCON 2022 Barani Afrika. Ni burudani tupu viwanjani. Jamvi la wikiendi lipo hivi;
Leicester City watawaalika Watford pale King Power Stadium Jumamosi hii. Cladio Ranieri atarejea nyumbani kwa mara ya pili. Walipokutana kwenye EPL, Watford walipoteza mchezo, hali itakuaje kwenye Kombe la FA safari hii? Meridiabet tumekuwekea Odds ya 1.67 kwa Leicester wikiendi hii.
Tukivuka mipaka na kutua nchini Hispania, Real Madrid kuchuana na Valencia katika muendelezo wa LaLiga Santander. Madrid wapo na moto wa hatari msimu huu, Valencia nao sio haba! Lolote linaweza kutokea uwanjani. Ndani ya dakika 90, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.37 kwa Madrid.
Jumapili hii, tunakata utepe wa mashindano ya AFCON 2022. Wenyeji Cameroon watafungua safari ya mwezi mzima kwa kuchuana na Burkina Faso. Meridianbet tutakuwa pamoja nawe kwa mwezi mzima katika burudani ya soka la Afrika. Kwenye mchezo huu, ifuate Odds ya 1.49 kwa Cameroon.
Kwenye Serie A, AS Roma watarejea nyumbani kuwaalika Juventus. Roma ametoka kupokea kichapo kizito kutoka kwa AC Milan kule jijini Milano. Watakapo kuwa Rome, watafanya kitu gani dhidi ya Juventus. Nyasi zitaamua!! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 kwa Juventus.
Jumatatu, Man United watawaalika Aston Villa pale Old Trafford kwenye mchezo wa FA Cup. United anamachungu ya kupoteza mchezo dhidi ya Wolves kwenye EPL. Huu ni mchezo wa kufa au kupona kwa timu zote, nani ni nani? Odds ya 1.69 ipo kwa The Red Devils ndani ya Meridianbet.
Kwenye AFCON 2022, Sadio Mane ataiongoza Senegal watakapochuana na Zimbabwe. Tegemea soka lenye ushindani kila zinapokutana timu hizi. Nyavu lazima zitikisike! Zimbabwe alipoteza mchezo wa mwisho walipokutana (2-1), watarudia tena au watapindua meza? Ifuate Odds ya 1.19 kwa Senegal ukiwa na Meridianbet.
Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!