The House of Favourite Newspapers

CAF Yawaruhusu Simba, Azam, Biashara Kuingiza Mashabiki

0

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika kwa timu za Tanzania.

 

Kwa mujibu wa taarifa ya CAF iliyotumwa Oktoba 14, 2021 mchezo wa Kombe la Shirikisho Biashara United Mara vs Al Ahly Tripoli (Libya) imeruhusu mashabiki 5,000 wakati ule wa Jumamosi Azam FC vs Pyramids FC (Misri) imeruhusu mashabiki 2,000 na Simba kwenye mchezo wa marudiano nyumbani wataingiza mashabiki 15,000.

 

Leave A Reply