Calisah Azawadiwa Benz na Mpenzi Wake Vera Sidika

MWANAMITINDO wa Bongo, Calisah ambaye kwa sasa anafaidi penzi la aliyekuwa mpenzi wa msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Otile Brown, mwanadada Vera Sidika, jana November 7, 2018 penzi hilo linaonekana kukolea kati ya wawili hao na hii ni baada ya Vera Sidika kutumia ukurasa wake wa instagram kupost picha inayoonyesha kuwa amemnunulia Calisah gari aina ya Mercedez Benz na kuandika,“Huwa natimiza aahadi siku zote, natumaini umependa gari lako jipya.”

Toa comment