×


Amani

GHOROFA ANALOJENGA HARMONIZE LASHTUA

DAR: Ghorofa analojenga Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ limeshtua wengi ni baada ya kuonekana katika hatua za awali huku wengi wao wakidai kuwa…

SOMA ZAIDI

DAVINA AFUATA NYAYO ZA SHILOLE, WOLPER

MSANII wa kitambo kwenye tasnia filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’ amesema kuwa kwa sasa hakuna staa ambaye anayejielewa na ‘anafuga kucha’ zaidi ya kuchakarika na…

SOMA ZAIDI

LULU DIVA: NISINGEJIONGEZA, NINGEJIUZA!

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwa sasa ambaye pia ni muigizaji, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kama asingetumua akili ya kuamua kujituma kwenye muziki, angeweza kujiingiza…

SOMA ZAIDI

SANCHI AANIKA SABABU YA KUPIGA ZA UTUPU

MWANAMITINDO maarufu Bongo na Afrika Mashariki, Jane Ramoy ‘Sanchi’ amesema kuwa picha zozote zinazoonekana kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha yuko wazi sehemu kubwa ya mwili…

SOMA ZAIDIKIBOKO YA SANCHI AIBUKA, AONYWA

DAR: Kama ulikuwa bado unaamini kuwa mrembo mwenye figa matata pekee Bongo ni Sanchi, basi fahamu kuwa unakosea kuna mwingine anaitwa Scollah Wawuda ‘Binti Salim’…

SOMA ZAIDI


DIAMOND AMBADILI DINI KIM NANA

DAR ES SALAAM: Mzazi mwenzake mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Mondi’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndio basi tena! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamuziki huyo…

SOMA ZAIDI

MAMA AMKAANGA WEMA KWA MAKONDA

DAR ES SALAAM: Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutangaza oparesheni maalum ya kudili na wanaume mashoga, msanii wa filamu,…

SOMA ZAIDI

KWA HAYA MONDI , KIBA MUAMKE TU

UNAKUM-BUKA vile vibweka vya mwenye kiti chake amerudi? Ally Salehe Kiba aliyekuwa amepotea kwenye gemu takriban kama miaka mitatu hivi, alirejea na kukuta muziki umeshikiliwa…

SOMA ZAIDI

MAUA SAMA AKANA KUTUMIA NDUMBA

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amekanusha madai ya kutumia uchawi ‘ndumba’ kwenye wimbo wake wa Iokote na kusema kuwa ni Mungu tu…

SOMA ZAIDI

MIMI MARS AMFUNGUKIA RAMMY

BAADA ya mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis kuibuka na kusema kuwa anatamani kuonana naye ikiwezekana kuanzisha naye uhusiano, msanii wa Bongo Fleva, Mimi Mars…

SOMA ZAIDI
WATOTO FAMILIA MOJA WATEKWA

DAR ES SALAAM: Wakati wimbi la watoto kutekwa likiendelea kutikisa nchini huku Jeshi la Polisi likiendelea kuwatafuta, watoto Kulthum Ally (7) na Hidaya Ally (5),…

SOMA ZAIDI

AMCHOMA VISU MKEWE, AJIUWA

DAR ES SALAAM: Steven Mwashilindi, Mkazi wa Tabata -Kimanga jijini Dar, amedaiwa kujiua baada ya kumchoma visu tumboni mkewe, Maida Julius kisha na yeye kujichoma…

SOMA ZAIDI

WCB WAMEITEKA BONGO FLEVA 90%

WAHENGA wenzangu Bongo Flevani wanakumbuka Sterehe ya Ferooz, Nikusaidiaje ya Profesa Jay, Alikufa kwa Ngoma ya MwanaFA, Salome ya Dully Sykes, Mkuki Moyoni ya Afande…

SOMA ZAIDI

AIKA AFUNGUKA UNDANI WAO NA SALLAM

BAADA ya kusemwa kila kona kuwa wamehamia Wasafi Classic Baby (WCB), msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Aika Marealle ‘Aika’ ameanika undani kuwa hayupo WCB…

SOMA ZAIDI

Global TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI