×


Amani

Rayuu, Skaina wafanya uchafu

Mastaa wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ pamoja na Skyner Ally ‘Skaina’. Mayasa Mariwata MASTAA wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ pamoja na Skyner Ally ‘Skaina’…

SOMA ZAIDI

Jack Chuz alia kutopata mtoto

KARIBU tena msomaji katika kolamu hii inayokuunganisha na mastaa mbalimbali wa muziki na filamu hapa nchini na kupata fursa ya kuwauliza maswali ambayo yamekuwa yakiumiza…

SOMA ZAIDI

Masogange afungukia penzi la  Davido

Video Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’. VIDEO Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ alifungukia penzi lake  na staa wa muziki kutoka…

SOMA ZAIDI

Aliens; bado tishio jipya duniani!

LIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita nilieleza jinsi ambavyo kwenye miaka ya hivi karibuni, neno UFO (Unidentified Flying Objects) limechukua kasi hasa nchi za Magharibi, Asia…

SOMA ZAIDI

Magufuli amfagilia Diamond kwa tuzo

RICHARD BUKOS, aliyekuwa Lindi MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amemmwagia sifa lukuki, mkali wao ndani ya muziki wa Bongo Fleva, Nasibu…

SOMA ZAIDI
TID: kurejesha heshima!

BAADA ya kubamba na Ngoma ya Kibakubaku,  Khaleed Mohamed ‘TID’ amesema kuwa kwa sasa yuko ‘chimbo’ akijiandaa kuja na vitu adimu ambavyo anaamini atarejesha heshima…

SOMA ZAIDI

Koletha achoshwa na upweke!

BRIGHTON MASALU KOLETHA Raymond, ambaye ni muigizaji wa muda mrefu, amesema kwa sasa amechoshwa na upweke huku akiweka wazi kuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano…

SOMA ZAIDI

Ukweli wa Viumbe Waishio Angani-9

Wamarekani wadai Obama shujaa wa kupambana na Aliens ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea namna ambavyo viumbe hawa wa ajabu waishio angani,…

SOMA ZAIDI


Ndoa ya Mpoto yatikisika

HAKUNA kisa zaidi ya madai kwamba yeye ni memba wa Freemason, ndoa ya nyota wa nyimbo za mashairi Bongo, Mrisho Mpoto imetikisika, Amani limejua. Kwa…

SOMA ZAIDI

Kisa Vicoba, Mke adaiwa…

MAKUBWA! Mke aliyetajwa kwa jina la Hawa Mussa (20), mkazi wa Yombo – Buza, Dar amelalamikiwa na mumewe Abdul Aziz, kwamba amekimbia kwenye ndoa yao…

SOMA ZAIDI

Ukawa, CCM sasa lala salama

VITA vya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu inazidi kukolea na kwa mujibu wa habari kutoka kambi mbili pinzani za Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

SOMA ZAIDI

Jb atamba ‘kumfufua’ kuambiana

Staa kwenye sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’. Imelda Mtema Makubwa! Staa bonge la bwana kwenye sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ ametamba kuwa ‘atamfufua’…

SOMA ZAIDI


40 ya Tiffah yaacha Madeni!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na mpenzi wake Zari wakiwa na mtoto wao Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’. https://www.youtube.com/watch?v=XP70rbMigMQ OHOOO! Kuna madai kwamba,…

SOMA ZAIDI

Mpoto: Nataka msiba wangu uwe mkubwa

Imelda Mtema Dah! Mwanamuziki mahiri wa mashairi ya kughani Bongo, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ amefungua kinywa na kusema kuwa anataka siku akifa msiba wake uwe mkubwa….

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online


ZILIZOSOMWA ZAIDI


Error type: "Bad Request". Error message: "Bad Request" Domain: "usageLimits". Reason: "keyInvalid".

Did you added your own Google API key? Look at the help.

Check in YouTube if the id youtube belongs to a username. Check the FAQ of the plugin or send error messages to support.